Kumbukumbu la Torati 27:24 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC24 Na alaaniwe ampigaye mwenzake kwa siri. Na watu wote waseme Amina. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema24 “ ‘Alaaniwe mtu yeyote anayeua mtu kwa siri’. Na watu wote wataitika, ‘Amina!’ Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND24 “ ‘Alaaniwe mtu yeyote anayeua mtu kwa siri’. Na watu wote wataitika, ‘Amina!’ Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza24 “‘Alaaniwe mtu yeyote anayeua mtu kwa siri’. Na watu wote wataitika, ‘Amina!’ Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu24 “Alaaniwe mtu amuuaye jirani yake kwa siri.” Kisha watu wote watasema, “Amen!” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu24 “Alaaniwe mtu amuuaye jirani yake kwa siri.” Kisha watu wote watasema, “Amen!” Tazama sura |
Na zaidi ya hayo, unajua alivyonitenda Yoabu, mwana wa Seruya, yaani, alivyowatenda majemadari wawili wa majeshi ya Israeli, Abneri, mwana wa Neri, na Amasa, mwana wa Yetheri, ambao aliwaua, na kumwaga damu wakati wa amani akilipiza kisasi cha vita, mshipi akautia damu ya vita uliokuwa viunoni mwake, na viatu vilivyokuwa miguuni mwake.