Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Kumbukumbu la Torati 27:23 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

23 Na alaaniwe alalaye na mkwewe, mamaye mkewe. Na watu wote waseme, Amina.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

23 “ ‘Alaaniwe mtu yeyote alalaye na mama mkwe wake’. Na watu wote wataitika, ‘Amina!’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

23 “ ‘Alaaniwe mtu yeyote alalaye na mama mkwe wake’. Na watu wote wataitika, ‘Amina!’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

23 “‘Alaaniwe mtu yeyote alalaye na mama mkwe wake’. Na watu wote wataitika, ‘Amina!’

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

23 “Alaaniwe mtu akutanaye kimwili na mama mkwe wake.” Kisha watu wote watasema, “Amen!”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

23 “Alaaniwe mtu akutanaye kimwili na mama mkwe wake.” Kisha watu wote watasema, “Amen!”

Tazama sura Nakili




Kumbukumbu la Torati 27:23
3 Marejeleo ya Msalaba  

Usifunue utupu wa mwanamke na binti yake; usimtwae binti ya mwanaye wa kiume, au binti ya binti yake, ili kufunua utupu wake; hao ni jamaa ya karibu; ni uovu mkuu.


Tena mwanamume akimwoa mke pamoja na mama yake, ni uovu mkuu; watachomwa moto, yeye mume na hao wanawake pia; ili kwamba usiwe uovu kati yenu.


Na alaaniwe ampigaye mwenzake kwa siri. Na watu wote waseme Amina.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo