Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Kumbukumbu la Torati 27:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

17 Na alaaniwe aondoaye mpaka wa jirani yake. Na watu wote waseme, Amina.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

17 “ ‘Alaaniwe mtu yeyote aondoaye alama ya mpaka wa jirani yake.’ Na watu wote wataitika, ‘Amina!’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

17 “ ‘Alaaniwe mtu yeyote aondoaye alama ya mpaka wa jirani yake.’ Na watu wote wataitika, ‘Amina!’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

17 “‘Alaaniwe mtu yeyote aondoaye alama ya mpaka wa jirani yake.’ Na watu wote wataitika, ‘Amina!’

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

17 “Alaaniwe mtu asogezaye jiwe la mpaka wa jirani yake.” Kisha watu wote watasema, “Amen!”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

17 “Alaaniwe mtu asogezaye jiwe la mpaka wa jirani yake.” Kisha watu wote watasema, “Amen!”

Tazama sura Nakili




Kumbukumbu la Torati 27:17
5 Marejeleo ya Msalaba  

Wako waziondoao alama za mipaka; Huyachukua makundi na kuyalisha.


Usiiondoe alama ya mpaka wa zamani, Uliowekwa na baba zako.


Wakuu wa Yuda ni kama watu waondoao alama ya mpaka; nitawamwagia ghadhabu yangu kama maji.


Usiiondoe alama ya mpaka wa jirani yako, waliouweka watu wa kale katika urithi wako, utakaorithi ndani ya nchi akupayo BWANA, Mungu wako, uimiliki.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo