Kumbukumbu la Torati 27:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC16 Na alaaniwe amdharauye baba yake au mama yake. Na watu wote waseme, Amina. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 “ ‘Alaaniwe mtu yeyote anayemdharau baba yake au mama yake.’ Na watu wote wataitika, ‘Amina!’ Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 “ ‘Alaaniwe mtu yeyote anayemdharau baba yake au mama yake.’ Na watu wote wataitika, ‘Amina!’ Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 “‘Alaaniwe mtu yeyote anayemdharau baba yake au mama yake.’ Na watu wote wataitika, ‘Amina!’ Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 “Alaaniwe mtu amdharauye baba yake na mama yake.” Kisha watu wote watasema, “Amen!” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 “Alaaniwe mtu amdharauye baba yake na mama yake.” Kisha watu wote watasema, “Amen!” Tazama sura |