Kumbukumbu la Torati 26:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC4 Naye kuhani atakipokea kikapu mkononi mwako, akiweke chini mbele ya madhabahu ya BWANA, Mungu wako. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 “Naye kuhani atakapochukua kikapu hicho mikononi mwako na kukiweka mbele ya madhabahu ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wako, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 “Naye kuhani atakapochukua kikapu hicho mikononi mwako na kukiweka mbele ya madhabahu ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wako, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 “Naye kuhani atakapochukua kikapu hicho mikononi mwako na kukiweka mbele ya madhabahu ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wako, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Kuhani atapokea lile kapu mikononi mwako na kuliweka chini mbele ya madhabahu ya Mwenyezi Mungu, Mungu wako. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Kuhani atapokea lile kapu mikononi mwako na kuliweka chini mbele ya madhabahu ya bwana Mwenyezi Mungu wako. Tazama sura |