Kumbukumbu la Torati 26:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC3 Ukamwendee kuhani atakayekuwapo siku zile, ukamwambie, Ninakiri leo kwa BWANA, Mungu wako, ya kuwa nimeingia katika nchi BWANA aliyowaapia baba zetu ya kwamba atatupa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Utamwendea kuhani anayehudumu wakati huo, na kumwambia, ‘Leo ninakiri mbele ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wangu, kuwa nimeingia katika nchi aliyowaapia wazee wetu kuwa atatupa.’ Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Utamwendea kuhani anayehudumu wakati huo, na kumwambia, ‘Leo ninakiri mbele ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wangu, kuwa nimeingia katika nchi aliyowaapia wazee wetu kuwa atatupa.’ Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Utamwendea kuhani anayehudumu wakati huo, na kumwambia, ‘Leo ninakiri mbele ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wangu, kuwa nimeingia katika nchi aliyowaapia wazee wetu kuwa atatupa.’ Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 na umwambie kuhani atakayekuwepo wakati huo, “Ninatangaza leo kwa Mwenyezi Mungu, Mungu wako, kwamba nimekuja katika nchi ambayo Mwenyezi Mungu aliwaapia baba zetu kwamba atatupa.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 na umwambie kuhani atakayekuwepo kwa wakati huo, “Ninatangaza leo kwa bwana Mwenyezi Mungu wako kwamba nimekuja katika nchi ambayo bwana aliwaapia baba zetu kwamba atatupa.” Tazama sura |