Kumbukumbu la Torati 26:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC11 ukayafurahie mema yote ambayo BWANA, Mungu wako, amekupa, na nyumba yako, wewe, na Mlawi, na mgeni aliye kati yako. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Nawe utafurahia mema yote ambayo Mwenyezi-Mungu, Mungu wako, amekujalia wewe na jamaa yako. Nao watafurahi pamoja nawe. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Nawe utafurahia mema yote ambayo Mwenyezi-Mungu, Mungu wako, amekujalia wewe na jamaa yako. Nao watafurahi pamoja nawe. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Nawe utafurahia mema yote ambayo Mwenyezi-Mungu, Mungu wako, amekujalia wewe na jamaa yako. Nao watafurahi pamoja nawe. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Kisha wewe pamoja na Walawi na wageni wote walio miongoni mwenu mtafurahi katika vitu vyote vizuri ambavyo Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, amewapa pamoja na wa nyumbani mwenu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Kisha wewe pamoja na Walawi na wageni wote walioko miongoni mwenu mtafurahi katika vitu vyote vizuri ambavyo bwana Mwenyezi Mungu wenu amewapa pamoja na wa nyumbani mwenu. Tazama sura |