Kumbukumbu la Torati 26:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC10 Na sasa, tazama, nimeleta malimbuko ya mazao ya ardhi uliyonipa, Ee BWANA. Kisha ukiweke chini mbele za BWANA, Mungu wako, ukasujudu mbele za BWANA, Mungu wako; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Na sasa ninamletea Mwenyezi-Mungu malimbuko ya mazao ya nchi ambayo amenipa.’ “Kisha utaweka kikapu chini, mbele ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wako, na kuabudu mbele zake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Na sasa ninamletea Mwenyezi-Mungu malimbuko ya mazao ya nchi ambayo amenipa.’ “Kisha utaweka kikapu chini, mbele ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wako, na kuabudu mbele zake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Na sasa ninamletea Mwenyezi-Mungu malimbuko ya mazao ya nchi ambayo amenipa.’ “Kisha utaweka kikapu chini, mbele ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wako, na kuabudu mbele zake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 nami sasa ninaleta malimbuko ya ardhi ambayo wewe, Ee Mwenyezi Mungu, umenipa.” Weka kapu mbele za Mwenyezi Mungu, Mungu wako, na usujudu mbele zake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 nami sasa ninaleta malimbuko ya ardhi ambayo wewe, Ee bwana, umenipa.” Weka kapu mbele za bwana Mwenyezi Mungu wako na usujudu mbele zake. Tazama sura |