Kumbukumbu la Torati 26:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC1 Na itakuwa, ukiisha kuingia katika nchi akupayo BWANA, Mungu wako, iwe urithi, na kuimiliki, na kukaa ndani yake; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 “Baada ya kufika na kuimiliki nchi ambayo Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu anawapa iwe yenu na kuishi huko, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 “Baada ya kufika na kuimiliki nchi ambayo Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu anawapa iwe yenu na kuishi huko, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 “Baada ya kufika na kuimiliki nchi ambayo Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu anawapa iwe yenu na kuishi huko, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Mtakapokuwa mmeingia nchi ambayo Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, anawapa kama urithi na mtakapokuwa mmeimiliki na kukaa ndani yake, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Mtakapokuwa mmeingia nchi ile ambayo bwana Mwenyezi Mungu wenu anawapa kama urithi na mtakapokuwa mmeimiliki na kukaa ndani yake, Tazama sura |