Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Kumbukumbu la Torati 25:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

4 Ng'ombe apurapo nafaka usimfunge kinywa.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

4 “Usimfunge ng'ombe kinywa anapopura nafaka.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

4 “Usimfunge ng'ombe kinywa anapopura nafaka.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

4 “Usimfunge ng'ombe kinywa anapopura nafaka.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

4 Usimfunge maksai kinywa anapopura nafaka.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

4 Usimfunge maksai kinywa anapopura nafaka.

Tazama sura Nakili




Kumbukumbu la Torati 25:4
5 Marejeleo ya Msalaba  

Mwenye haki huufikiri uhai wa mnyama wake; Bali huruma za mtu mwovu ni ukatili.


Kwa maana kunde zile hazipurwi kwa chombo kikali, wala gurudumu la gari halipitishwi huku na huko juu ya jira ile, bali kunde zile hupurwa kwa fimbo, na jira ile kwa ufito.


Naye Efraimu ni ndama aliyefundishwa, apendaye kupura; lakini nimepitisha kongwa juu ya shingo yake nzuri; nitampandisha mwenye kupanda juu ya Efraimu; Yuda atalima, na Yakobo atapiga haro yeye mwenyewe.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo