Kumbukumbu la Torati 25:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC3 Aweza kumpiga fimbo arubaini asizidishe asije akaonekana nduguyo kuwa amedharauliwa kwako, azidishapo kwa kumpiga fimbo nyingi juu ya hizi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Mwenye hatia anaweza kuchapwa viboko arubaini lakini si zaidi. Mkizidisha kiasi hicho mtakuwa mmemfedhehesha ndugu yenu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Mwenye hatia anaweza kuchapwa viboko arubaini lakini si zaidi. Mkizidisha kiasi hicho mtakuwa mmemfedhehesha ndugu yenu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Mwenye hatia anaweza kuchapwa viboko arubaini lakini si zaidi. Mkizidisha kiasi hicho mtakuwa mmemfedhehesha ndugu yenu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 lakini kamwe asipigwe zaidi ya mijeledi arobaini. Akipigwa zaidi ya mijeledi arobaini, nduguyo atadhalilika machoni pako. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 lakini kamwe asichapwe zaidi ya viboko arobaini. Ikiwa atachapwa zaidi ya viboko arobaini, nduguyo atadhalilika machoni pako. Tazama sura |