Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Kumbukumbu la Torati 25:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

17 Kumbuka aliyokufanya Amaleki katika njia mlipokuwa mkitoka Misri;

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

17 “Kumbukeni kitendo cha Waamaleki mlipokuwa safarini kutoka Misri.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

17 “Kumbukeni kitendo cha Waamaleki mlipokuwa safarini kutoka Misri.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

17 “Kumbukeni kitendo cha Waamaleki mlipokuwa safarini kutoka Misri.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

17 Kumbuka kile Waamaleki walichowatendea mlipokuwa njiani mkitoka Misri.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

17 Kumbuka kile Waamaleki walichowatendea mlipokuwa njiani mkitoka Misri.

Tazama sura Nakili

Kumbukumbu la Torati 25:17
5 Marejeleo ya Msalaba  

Na Timna alikuwa suria wa Elifazi, mwana wa Esau; naye akamzalia Elifazi Amaleki. Hao ndio wana wa Ada, mkewe Esau.

Kisha akamwangalia Amaleki, akatunga mithali yake, akasema, Amaleki alikuwa ni wa kwanza wa mataifa; Lakini mwisho wake atapata uharibifu.

BWANA wa majeshi asema hivi, Nimeyatia moyoni mwangu yale ambayo Waamaleki waliwatenda Waisraeli, jinsi walivyowapinga njiani, hapo walipopanda kutoka Misri.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo