Kumbukumbu la Torati 25:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC15 Uwe na jiwe timilifu la haki, uwe na kipimo kitimilifu cha haki; zipate kuwa nyingi siku zako, katika nchi akupayo BWANA, Mungu wako. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 “Tumieni mizani na vipimo vyenye uzito sahihi ili mpate kuishi maisha marefu katika nchi anayowapa Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 “Tumieni mizani na vipimo vyenye uzito sahihi ili mpate kuishi maisha marefu katika nchi anayowapa Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 “Tumieni mizani na vipimo vyenye uzito sahihi ili mpate kuishi maisha marefu katika nchi anayowapa Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Ni lazima uwe na uzito na vipimo sahihi na vya haki, ili upate kuishi maisha marefu katika nchi anayokupa Mwenyezi Mungu, Mungu wako. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Ni lazima uwe na uzito na vipimo sahihi na vya haki, ili upate kuishi maisha marefu katika nchi anayokupa bwana Mwenyezi Mungu wako. Tazama sura |