Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Kumbukumbu la Torati 25:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

14 Usiwe na vipimo mbalimbali, kikubwa na kidogo, katika nyumba yako.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

14 Wala msiwe na aina mbili za vipimo vya kupimia, kubwa na ndogo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

14 Wala msiwe na aina mbili za vipimo vya kupimia, kubwa na ndogo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

14 Wala msiwe na aina mbili za vipimo vya kupimia, kubwa na ndogo.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

14 Usiwe na vipimo viwili tofauti katika nyumba yako, kimoja kikubwa, kingine kidogo.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

14 Usiwe na vipimo viwili tofauti katika nyumba yako, kimoja kikubwa, kingine kidogo.

Tazama sura Nakili

Kumbukumbu la Torati 25:14
2 Marejeleo ya Msalaba  

Usiwe na mawe ya kupimia mbalimbali, kubwa na dogo, katika mfuko wako.

Uwe na jiwe timilifu la haki, uwe na kipimo kitimilifu cha haki; zipate kuwa nyingi siku zako, katika nchi akupayo BWANA, Mungu wako.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo