Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Kumbukumbu la Torati 25:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

13 Usiwe na mawe ya kupimia mbalimbali, kubwa na dogo, katika mfuko wako.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

13 “Msiwe na vipimo vya kupimia vya namna mbili: Kimoja kizito na kingine chepesi. Msitumie mizani za udanganyifu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

13 “Msiwe na vipimo vya kupimia vya namna mbili: Kimoja kizito na kingine chepesi. Msitumie mizani za udanganyifu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

13 “Msiwe na vipimo vya kupimia vya namna mbili: kimoja kizito na kingine chepesi. Msitumie mizani za udanganyifu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

13 Usiwe na mawe ya kupimia ya aina mbili katika mkoba wako, moja zito na jingine jepesi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

13 Usiwe na mawe ya kupimia ya aina mbili katika mkoba wako, moja zito na jingine jepesi.

Tazama sura Nakili




Kumbukumbu la Torati 25:13
9 Marejeleo ya Msalaba  

Mizani ya udanganyifu ni chukizo kwa BWANA; Bali vipimo vilivyo sawasawa humpendeza.


Mizani ya haki na vitanga vyake ni vya BWANA; Mawe yote ya mfukoni ni kazi yake.


Vipimo mbalimbali, na pishi mbalimbali, Vyote viwili ni chukizo kwa BWANA.


Vipimo mbalimbali ni chukizo kwa BWANA; Tena mizani ya hila si njema.


mkisema, Mwezi mpya utaondoka lini, tupate kuuza nafaka? Na sabato nayo, tupate kuandaa ngano? Mkiipunguza efa na kuiongeza shekeli, mkidanganya watu kwa mizani ya udanganyifu;


Usiwe na vipimo mbalimbali, kikubwa na kidogo, katika nyumba yako.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo