Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Kumbukumbu la Torati 25:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

11 Wapiganapo wanaume wao kwa wao, akakaribia mke wa mmojawapo, ili kumwokoa mumewe katika mkono wa ampigaye, yule mke akatoa mkono wake, na kumkamata tupu yake;

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

11 “Wanaume wawili wakipigana na mke wa mmoja wao akamsaidia mumewe kwa kumkamata sehemu za siri yule anayepigana na mumewe,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

11 “Wanaume wawili wakipigana na mke wa mmoja wao akamsaidia mumewe kwa kumkamata sehemu za siri yule anayepigana na mumewe,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

11 “Wanaume wawili wakipigana na mke wa mmoja wao akamsaidia mumewe kwa kumkamata sehemu za siri yule anayepigana na mumewe,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

11 Ikiwa watu wawili wanapigana na mke wa mmoja wao akaja kumwokoa mumewe na yule anayemshambulia, naye mke huyo akifika na kumkamata sehemu za siri,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

11 Ikiwa watu wawili wanapigana na mke wa mmoja wao akaja kumwokoa mumewe na yule anayemshambulia, naye mke huyo akifika na kumkamata sehemu za siri,

Tazama sura Nakili

Kumbukumbu la Torati 25:11
4 Marejeleo ya Msalaba  

Kwa nini tusiseme (kama tulivyosingiziwa, na kama wengine wanavyokaza kusema ya kwamba twasema hivyo), Na tufanye mabaya, ili yaje mema? Ambao kuhukumiwa kwao kuna haki.

Na jina lake katika Israeli liitwe, Nyumba ya mvuliwa kiatu.

umkate ule mkono wake, lisiwe na huruma jicho lako.

Vivyo hivyo wanawake na wajipambe kwa mavazi ya kujisitiri, pamoja na adabu nzuri, na moyo wa kiasi; si kwa kusuka nywele, wala kwa dhahabu na lulu, wala kwa nguo za thamani;

Tufuate:

Matangazo

Matangazo