Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Kumbukumbu la Torati 24:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

9 Kumbukeni na BWANA, Mungu wako alivyomtenda Miriamu katika njia mlipotoka Misri.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

9 Kumbukeni Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu alivyomtendea Miriamu mlipokuwa safarini kutoka Misri.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

9 Kumbukeni Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu alivyomtendea Miriamu mlipokuwa safarini kutoka Misri.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

9 Kumbukeni Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu alivyomtendea Miriamu mlipokuwa safarini kutoka Misri.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

9 Kumbukeni kile Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, alichomfanyia Miriamu njiani baada ya ninyi kutoka Misri.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

9 Kumbukeni kile bwana Mwenyezi Mungu wenu alichomfanyia Miriamu njiani baada ya ninyi kutoka Misri.

Tazama sura Nakili




Kumbukumbu la Torati 24:9
7 Marejeleo ya Msalaba  

Basi walikuwapo watu wanne wenye ukoma, penye lango la mji; wakasemezana, Mbona tunakaa hapa hata tufe?


Waamrishe wana wa Israeli kwamba wamtoe kila mwenye ukoma kambini, na kila mtu aliye na kisonono, na kila aliye najisi kwa ajili ya maiti;


Mkumbukeni mkewe Lutu.


Basi mambo hayo yaliwapata wao kwa jinsi ya mifano, yakaandikwa ili kutuonya sisi, tuliofikiwa na miisho ya nyakati.


Basi mambo hayo yalikuwa mifano kwetu, kusudi sisi tusiwe watu wa kutamani mabaya, kama wale nao walivyotamani.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo