Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Kumbukumbu la Torati 24:18 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

18 bali kumbuka ya kuwa ulikuwa mtumwa katika Misri, BWANA, Mungu wako, akakukomboa huko; kwa hiyo nakuamuru kutenda neno hili.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

18 Kumbukeni kwamba nyinyi mlikuwa watumwa nchini Misri, na Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, akawakomboa kutoka huko. Kwa hiyo ninawapeni amri hiyo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

18 Kumbukeni kwamba nyinyi mlikuwa watumwa nchini Misri, na Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, akawakomboa kutoka huko. Kwa hiyo ninawapeni amri hiyo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

18 Kumbukeni kwamba nyinyi mlikuwa watumwa nchini Misri, na Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, akawakomboa kutoka huko. Kwa hiyo ninawapeni amri hiyo.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

18 Kumbukeni kwamba mlikuwa watumwa huko Misri, naye Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, akawakomboa kutoka huko. Hii ndiyo sababu ninawaamuru kutenda hili.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

18 Kumbukeni kwamba mlikuwa watumwa huko Misri, naye bwana Mwenyezi Mungu wenu akawakomboa kutoka huko. Hii ndiyo sababu ninawaamuru kutenda hili.

Tazama sura Nakili




Kumbukumbu la Torati 24:18
8 Marejeleo ya Msalaba  

Usimtese mjane yeyote aliyefiwa na mumewe, wala mtoto yatima.


Na mgeni akikaa pamoja nawe katika nchi yako, usimdhulumu.


Nawe kumbuka kwamba ulikuwa mtumwa katika nchi ya Misri, akakukomboa BWANA, Mungu wako; kwa hiyo mimi nakuamuru neno hili hivi leo.


Nawe kumbuka kwamba ulikuwa mtumwa huko Misri; tena zishike amri hizi kwa kuzifanya.


Usipotoshe hukumu ya mgeni, wala ya yatima; wala usitwae mavazi ya mjane, yawe rehani;


Uvunapo mavuno yako katika shamba lako, ukasahau mganda shambani, usirudi kuuchukua; na uwe wa mgeni, au yatima, au mjane; ili BWANA, Mungu wako, akubariki katika kazi yote ya mikono yako.


Nawe kumbuka ya kuwa ulikuwa mtumwa katika nchi ya Misri; kwa hiyo nakuamuru kutenda neno hili.


Nawe utakumbuka ya kuwa wewe ulikuwa mtumwa katika nchi ya Misri, na ya kuwa BWANA, Mungu wako, alikutoa huko kwa mkono wenye nguvu, na mkono ulionyoshwa; kwa sababu hiyo BWANA, Mungu wako, alikuamuru uishike sabato.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo