Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Kumbukumbu la Torati 24:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

10 Umkopeshapo jirani yako chochote kikopeshwacho usiingie katika nyumba yake kwenda kutwaa rehani kwake.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

10 “Ukimkopesha jirani kitu chochote, usiingie kwake kuchukua rehani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

10 “Ukimkopesha jirani kitu chochote, usiingie kwake kuchukua rehani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

10 “Ukimkopesha jirani kitu chochote, usiingie kwake kuchukua rehani.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

10 Unapomkopesha jirani yako chochote, usiingie nyumbani mwake kutwaa kile anachokitoa kama rehani.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

10 Unapomkopesha jirani yako chochote, usiingie nyumbani kwake kutwaa kile anachokitoa kama rehani.

Tazama sura Nakili




Kumbukumbu la Torati 24:10
5 Marejeleo ya Msalaba  

Kwa kuwa umetwaa dhamana kwa nduguyo bure, Na kuwavua nguo zao walio uchi.


Ikiwa wewe kwa njia yoyote wapokea nguo ya jirani yako rehani, lazima utamrudishia mbele ya jua kuchwa;


maana hiyo nguo ni kifuniko chake, hiyo peke yake ni nguo ya ngozi yake; je! Atalalia nini? Itakuwa, hapo atakaponililia mimi, nitasikia; kwa kuwa mimi ni mwenye rehema.


lakini mfumbulie mkono wako kwa kweli, umkopeshe kwa kweli yatoshayo haja yake katika ahitajiayo.


Simama nje, yule umkopeshaye akuletee nje ile rehani.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo