Kumbukumbu la Torati 23:25 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC25 Uingiapo katika mmea wa jirani yako waweza kuyapurura masuke kwa mkono wako; ila usisongeze mundu katika mmea wa jirani yako. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema25 Ukipitia katika shamba la jirani yako lenye nafaka unaweza kukwanyua masuke kwa mkono na kula, lakini usichukue mundu kukata mazao yake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND25 Ukipitia katika shamba la jirani yako lenye nafaka unaweza kukwanyua masuke kwa mkono na kula, lakini usichukue mundu kukata mazao yake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza25 Ukipitia katika shamba la jirani yako lenye nafaka unaweza kukwanyua masuke kwa mkono na kula, lakini usichukue mundu kukata mazao yake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu25 Ukiingia katika shamba la nafaka la jirani yako, unaweza kukwanyua kwa mikono yako, lakini usikate kwa mundu nafaka iliyosimama. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu25 Kama ukiingia katika shamba la nafaka la jirani yako, unaweza kukwanyua kwa mikono yako, lakini usikate kwa mundu nafaka iliyosimama. Tazama sura |