Kumbukumbu la Torati 23:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC2 Mwana wa haramu asiingie katika mkutano wa BWANA; hata kizazi cha kumi asiingie aliye wake katika mkutano wa BWANA. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 “Na mwana haramu yeyote, wala mzawa wake hata kizazi cha kumi, haruhusiwi kuingia katika kusanyiko la watu wa Mwenyezi-Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 “Na mwana haramu yeyote, wala mzawa wake hata kizazi cha kumi, haruhusiwi kuingia katika kusanyiko la watu wa Mwenyezi-Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 “Na mwana haramu yeyote, wala mzawa wake hata kizazi cha kumi, haruhusiwi kuingia katika kusanyiko la watu wa Mwenyezi-Mungu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Mtu ambaye amezaliwa kwenye ndoa isiyo halali au wazao wake wasiingie kwenye kusanyiko la Mwenyezi Mungu, hata kizazi cha kumi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Mtu yeyote ambaye amezaliwa kwenye ndoa isiyo halali au wazao wake wasiingie kwenye kusanyiko la bwana, hata mpaka kizazi cha kumi. Tazama sura |