Kumbukumbu la Torati 23:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC13 nawe uwe na jembe dogo katika silaha zako; napo uotamapo nje uchimbe kwa lile jembe, na kugeuka na kukifunika kikutokacho; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Kati ya vifaa vyenu mtakuwa na jembe, na hilo mtatumia kuchimba shimo na kufukia kinyesi chenu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Kati ya vifaa vyenu mtakuwa na jembe, na hilo mtatumia kuchimba shimo na kufukia kinyesi chenu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Kati ya vifaa vyenu mtakuwa na jembe, na hilo mtatumia kuchimba shimo na kufukia kinyesi chenu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 Kama sehemu ya vifaa vyenu kuweni na kitu cha kulimia, nanyi mnapojisaidia, chimba shimo na kisha funika kinyesi chako. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 Kama sehemu ya vifaa vyenu kuweni na kitu cha kulimia, nanyi mnapojisaidia, chimba shimo na kisha funika kile kikutokacho. Tazama sura |