Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Kumbukumbu la Torati 23:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

1 Aliyejeruhika konde, au aliyekatika tupu yake, asiingie mtu huyo katika mkutano wa BWANA.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

1 “Mwanamume yeyote aliyehasiwa au aliyekatwa uume wake haruhusiwi kujiunga na kusanyiko la watu wa Mwenyezi-Mungu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

1 “Mwanamume yeyote aliyehasiwa au aliyekatwa uume wake haruhusiwi kujiunga na kusanyiko la watu wa Mwenyezi-Mungu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

1 “Mwanamume yeyote aliyehasiwa au aliyekatwa uume wake haruhusiwi kujiunga na kusanyiko la watu wa Mwenyezi-Mungu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

1 Asiingie mtu yeyote aliyehasiwa kwa kupondwa makende au kwa kukatwa uume wake katika kusanyiko la Mwenyezi Mungu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

1 Asiingie mtu yeyote aliyehasiwa kwa kupondwa makende au kwa kukatwa uume wake katika kusanyiko la bwana.

Tazama sura Nakili




Kumbukumbu la Torati 23:1
11 Marejeleo ya Msalaba  

Huyo mtesi amenyosha mkono wake Juu ya matamanio yake yote; Maana ameona ya kuwa mataifa wameingia Ndani ya patakatifu pake; Ambao kwa habari zao wewe uliamuru Wasiingie katika kusanyiko lako.


Utupu wa mke wa baba yako, usifunue; maana, ni utupu wa baba yako.


Hakuna Myahudi wala Mgiriki. Hakuna mtumwa wala huru. Hakuna mwanamume wala mwanamke. Maana ninyi nyote mmekuwa wamoja katika Kristo Yesu.


Laiti hao wanaowatia mashaka wangejikata nafsi zao!


Wana wao watakaozaliwa kizazi cha tatu na waingie katika mkutano wa BWANA.


Na alaaniwe alalaye na mke wa baba yake, kwa kuwa amefunua mavazi ya babaye. Na watu wote waseme, Amina.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo