Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Kumbukumbu la Torati 22:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

7 sharti umwache yule koo aende zake, lakini makinda waweza kuyatwaa uwe nayo; ili upate kufanikiwa, ufanye siku zako kuwa nyingi.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

7 Utamwacha mamandege aende zake, lakini unaweza kuchukua makinda. Ukifanya hivyo utafanikiwa na kuishi maisha marefu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

7 Utamwacha mamandege aende zake, lakini unaweza kuchukua makinda. Ukifanya hivyo utafanikiwa na kuishi maisha marefu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

7 Utamwacha mamandege aende zake, lakini unaweza kuchukua makinda. Ukifanya hivyo utafanikiwa na kuishi maisha marefu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

7 Unaweza kuchukua makinda, lakini hakikisha unamwachilia huyo ndege, ili upate kufanikiwa na kuishi maisha marefu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

7 Waweza kuchukua makinda, lakini uwe na hakika ya kumwacha huyo ndege, ili upate kufanikiwa na uweze kuishi maisha marefu.

Tazama sura Nakili




Kumbukumbu la Torati 22:7
5 Marejeleo ya Msalaba  

Thawabu ya unyenyekevu ambao ni kumcha BWANA Ni utajiri, na heshima, nayo ni uzima.


Tena kama ni ng'ombe, au kondoo, msimchinje huyo na mwanawe, wote wawili kwa siku moja.


Utakapojenga nyumba mpya, fanya ukuta kandokando ya dari lako, usije ukaleta damu juu ya nyumba yako, mtu akianguka huko.


Basi, zishike sheria zake, na amri zake, ninazokuamuru leo, upate kufanikiwa, wewe na watoto wako baada yako, na siku zako ziwe nyingi katika nchi ile akupayo BWANA, Mungu wako, milele.


Endeni njia yote aliyowaagiza BWANA, Mungu wenu, mpate kuwa hai, na kufanikiwa, mkafanye siku zenu kuwa nyingi katika nchi mtakayoimiliki.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo