Kumbukumbu la Torati 22:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC5 Mwanamke asivae mavazi yampasayo mwanamume, wala mwanamume asivae mavazi ya mwanamke; kwa maana kila afanyaye mambo hayo ni machukizo kwa BWANA, Mungu wako. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 “Wanawake wasivae nguo za wanaume, na wanaume wasivae nguo za wanawake. Anayefanya hivyo ni chukizo kwa Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 “Wanawake wasivae nguo za wanaume, na wanaume wasivae nguo za wanawake. Anayefanya hivyo ni chukizo kwa Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 “Wanawake wasivae nguo za wanaume, na wanaume wasivae nguo za wanawake. Anayefanya hivyo ni chukizo kwa Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Haimpasi mwanamke kuvaa mavazi ya kiume wala mwanaume kuvaa mavazi ya kike, kwa maana Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, anachukia yeyote anayefanya hivi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Haimpasi mwanamke kuvaa nguo za kiume wala mwanaume kuvaa nguo za kike, kwa maana bwana Mwenyezi Mungu wenu anachukia yeyote ambaye hufanya hivi. Tazama sura |