Kumbukumbu la Torati 22:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC4 Umwonapo punda wa nduguyo, au ng'ombe wake, ameanguka kando ya njia, usijifiche kama usiyemwona; sharti umsaidie kumwinua tena. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 “Ukiona punda au ng'ombe wa nduguyo ameanguka njiani, usiache kumsaidia nduguyo; utamsaidia kumwinua. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 “Ukiona punda au ng'ombe wa nduguyo ameanguka njiani, usiache kumsaidia nduguyo; utamsaidia kumwinua. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 “Ukiona punda au ng'ombe wa nduguyo ameanguka njiani, usiache kumsaidia nduguyo; utamsaidia kumwinua. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Ukimwona punda wa nduguyo au ng’ombe wake ameanguka barabarani, usipuuze jambo hilo. Msaidie asimame kwa miguu yake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Kama ukimwona punda wa nduguyo au ng’ombe wake ameanguka barabarani, usipuuze jambo hilo. Msaidie asimame kwa miguu yake. Tazama sura |