Kumbukumbu la Torati 22:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC3 Tena fanya vivyo hivyo kwa punda wake; tena fanya vivyo hivyo kwa mavazi yake; tena fanya vivyo hivyo kwa kila kitu kilichopotea cha nduguyo, kilichompotea ukakiona wewe; usijifiche kama usiyekiona. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Utafanya vivyo hivyo kuhusu punda au vazi au kitu chochote ambacho nduguyo amekipoteza. Kamwe usiache kumsaidia. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Utafanya vivyo hivyo kuhusu punda au vazi au kitu chochote ambacho nduguyo amekipoteza. Kamwe usiache kumsaidia. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Utafanya vivyo hivyo kuhusu punda au vazi au kitu chochote ambacho nduguyo amekipoteza. Kamwe usiache kumsaidia. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Fanya vivyo hivyo ukimkuta punda wa nduguyo au joho lake au chochote alichopoteza. Usipuuze jambo hilo. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Fanya vivyo hivyo ukimkuta punda wa nduguyo au joho lake au chochote alichopoteza. Usipuuze jambo hilo. Tazama sura |