Kumbukumbu la Torati 22:28 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC28 Mtu mume akimwona binti aliye mwanamwali ambaye hajaposwa, akamshika na kulala naye, wakaonekana; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema28 “Mwanamume akikutana na msichana ambaye hajachumbiwa, akamshika kwa nguvu, wakafumaniwa, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND28 “Mwanamume akikutana na msichana ambaye hajachumbiwa, akamshika kwa nguvu, wakafumaniwa, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza28 “Mwanamume akikutana na msichana ambaye hajachumbiwa, akamshika kwa nguvu, wakafumaniwa, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu28 Ikiwa itatokea mwanaume akutane na bikira ambaye hajaposwa na kumbaka nao wakakutwa, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu28 Ikiwa itatokea mwanaume akutane na bikira ambaye hajaposwa na kumbaka nao wakakutwa, Tazama sura |