Kumbukumbu la Torati 22:27 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC27 kwani alimkuta kondeni; yule binti aliyeposwa akalia, pasiwe na mtu wa kumwokoa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema27 mwanamume huyo alimshika kwa nguvu huyo msichana huko mbugani, na ingawa alipiga kelele kuomba msaada hapakuwa na mtu wa kumsaidia. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND27 mwanamume huyo alimshika kwa nguvu huyo msichana huko mbugani, na ingawa alipiga kelele kuomba msaada hapakuwa na mtu wa kumsaidia. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza27 mwanamume huyo alimshika kwa nguvu huyo msichana huko mbugani, na ingawa alipiga kelele kuomba msaada hapakuwa na mtu wa kumsaidia. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu27 kwa maana mwanaume huyo alimkuta msichana huko mashambani, na ingawa msichana aliyeposwa alipiga yowe, hapakuwa na mtu wa kumwokoa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu27 kwa maana mwanaume huyo alimkuta msichana huko mashambani, na ingawa msichana aliyeposwa alipiga kelele, hapakuwa na mtu wa kumwokoa. Tazama sura |