Kumbukumbu la Torati 22:26 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC26 lakini yule binti usimfanye neno; maana yule binti hana dhambi ipasayo kuuawa, kwa kuwa ni mfano wa mtu kumshambulia mwenzake akamwua, ndivyo lilivyo jambo hili; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema26 Msimtendee huyo msichana chochote; yeye hana kosa linalostahili adhabu ya kifo. Tukio hili ni sawa na la mtu anayemshambulia mtu mwingine na kumwua, kwa sababu Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND26 Msimtendee huyo msichana chochote; yeye hana kosa linalostahili adhabu ya kifo. Tukio hili ni sawa na la mtu anayemshambulia mtu mwingine na kumwua, kwa sababu Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza26 Msimtendee huyo msichana chochote; yeye hana kosa linalostahili adhabu ya kifo. Tukio hili ni sawa na la mtu anayemshambulia mtu mwingine na kumwua, kwa sababu Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu26 Usimtendee msichana yule jambo lolote; hajafanya dhambi inayostahili kifo. Shauri hili ni kama lile la yeyote ambaye anamshambulia na kumuua kwa makusudi jirani yake, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu26 Usimtendee msichana yule jambo lolote; hajafanya dhambi inayostahili kifo. Shauri hili ni kama lile la yeyote ambaye anamshambulia na kumuua kwa makusudi jirani yake, Tazama sura |