Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Kumbukumbu la Torati 22:20 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

20 Lakini likiwa ni kweli neno hili, la kutoonekana kwake yule kijana alama za ubikira;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

20 Lakini kama mashtaka hayo ni ya kweli, na hakuna ushahidi wa ubikira wake,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

20 Lakini kama mashtaka hayo ni ya kweli, na hakuna ushahidi wa ubikira wake,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

20 Lakini kama mashtaka hayo ni ya kweli, na hakuna ushahidi wa ubikira wake,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

20 Hata hivyo, kama shtaka ni la kweli na hakuna uthibitisho kuhusu ubikira wa huyo msichana uliopatikana,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

20 Hata hivyo, kama shtaka ni la kweli na hakuna uthibitisho juu ya ubikira wa huyo msichana ulioweza kupatikana,

Tazama sura Nakili




Kumbukumbu la Torati 22:20
4 Marejeleo ya Msalaba  

Wanawe Yakobo waliposikia hayo, wakaja kutoka malishoni; nao wakasikitika sana, wakakasirika mno, kwa sababu amefanya upumbavu katika Israeli kwa kulala na binti Yakobo, jambo lisilostahili kutendeka.


Naye Yusufu, mumewe, kwa vile alivyokuwa mtu wa haki, asitake kumwaibisha, aliazimu kumwacha kwa siri.


ukiambiwa hayo nawe umeyasikia, ndipo utafute kwa bidii, na tazama, ikiwa ni kweli lina hakika jambo lile, kuwa yafanywa machukizo kama hayo katika Israeli;


wamtoze shekeli mia moja za fedha, wampe babaye yule kijana, kwa kuwa amemzulia jina baya mwanamwali wa Israeli; naye awe mkewe; hana ruhusa ya kumwacha siku zake zote.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo