Kumbukumbu la Torati 22:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC2 Na kwamba yule nduguyo hayupo karibu nawe, au ukiwa humjui, umchukue kwenu nyumbani kwako, uwe naye hata aje nduguyo kumtafuta, nawe mrudishie. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Lakini kama nyumbani kwa huyu ndugu si karibu au kama humjui mwenyewe, basi, utamchukua mnyama huyo nyumbani kwako, akae kwako mpaka mwenyewe atakapokuja, nawe umrudishie. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Lakini kama nyumbani kwa huyu ndugu si karibu au kama humjui mwenyewe, basi, utamchukua mnyama huyo nyumbani kwako, akae kwako mpaka mwenyewe atakapokuja, nawe umrudishie. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Lakini kama nyumbani kwa huyu ndugu si karibu au kama humjui mwenyewe, basi, utamchukua mnyama huyo nyumbani kwako, akae kwako mpaka mwenyewe atakapokuja, nawe umrudishie. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Ikiwa huyo ndugu haishi karibu nawe au kama wewe hufahamu yeye ni nani, mchukue nyumbani kwako huyo mnyama, umweke hadi mwenyewe aje kumtafuta. Nawe umrudishie. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Ikiwa huyo ndugu haishi karibu nawe au kama hufahamu yeye ni nani, mchukue nyumbani kwako huyo mnyama umweke mpaka mwenyewe aje kumtafuta. Ndipo umrudishie. Tazama sura |