Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Kumbukumbu la Torati 22:18 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

18 Basi wazee wa mji ule na wamtwae yule mtu mume na kumrudi,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

18 Hapo wazee wa mji watamchukua yule mwanamume na kumpiga viboko.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

18 Hapo wazee wa mji watamchukua yule mwanamume na kumpiga viboko.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

18 Hapo wazee wa mji watamchukua yule mwanamume na kumpiga viboko.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

18 nao wazee watamchukua huyo mwanaume na kumwadhibu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

18 nao wazee watamchukua huyo mwanaume na kumwadhibu.

Tazama sura Nakili




Kumbukumbu la Torati 22:18
5 Marejeleo ya Msalaba  

Zaidi ya hayo utajipatia katika watu hawa watu walio na uwezo, wenye kumcha Mungu, watu wa kweli, wenye kuchukia mapato ya udhalimu; ukawaweka juu yao, wawe wakuu wa maelfu, na wakuu wa mamia, na wakuu wa hamsini hamsini, na wakuu wa kumi kumi;


Watu wanaume wakipigana, wakamwumiza mwanamke mwenye mimba hata akaharibu mimba, tena yasiwe madhara zaidi; sharti atatozwa mali kama atakavyomwandikia mumewe huyo mwanamke; atalipa kama hao waamuzi watakavyosema.


Nami wakati ule niliwaambia, nikasema, Mimi siwezi kuwachukua peke yangu.


angalieni, amemwekea mambo ya aibu, asema, Sikuona kwa binti yako alama za ubikira, nazo hizi ndizo alama za binti yangu za ubikira. Na wayakunjue yale mavazi mbele ya wazee wa mji.


wamtoze shekeli mia moja za fedha, wampe babaye yule kijana, kwa kuwa amemzulia jina baya mwanamwali wa Israeli; naye awe mkewe; hana ruhusa ya kumwacha siku zake zote.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo