Kumbukumbu la Torati 22:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC15 ndipo babaye yule kijana na mamaye watakapotwaa alama za yule kijana za ubikira, wawatolee wazee wa mji langoni; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 basi, wazazi wa mwanamke huyo watachukua ushahidi wa ubikira wa binti yao kwa wazee kwenye lango la mji na kuwaambia, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 basi, wazazi wa mwanamke huyo watachukua ushahidi wa ubikira wa binti yao kwa wazee kwenye lango la mji na kuwaambia, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 basi, wazazi wa mwanamke huyo watachukua ushahidi wa ubikira wa binti yao kwa wazee kwenye lango la mji na kuwaambia, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 ndipo baba na mama wa msichana wataleta uthibitisho kwamba alikuwa bikira kwa wazee wa mji kwenye lango. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 ndipo baba na mama wa msichana wataleta uthibitisho kwamba alikuwa bikira kwa wazee wa mji kwenye lango. Tazama sura |