Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Kumbukumbu la Torati 22:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

13 Mtu akitwaa mke, akamwingilia na kumchukia,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

13 “Mwanamume akioa mwanamke, halafu baadaye akate shauri kumwacha,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

13 “Mwanamume akioa mwanamke, halafu baadaye akate shauri kumwacha,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

13 “Mwanamume akioa mwanamke, halafu baadaye akate shauri kumwacha,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

13 Ikiwa mtu atamwoa mke na baada ya kufanya naye tendo la ndoa, akamchukia,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

13 Ikiwa mtu atamwoa mke na, baada ya kufanya naye tendo la ndoa, akamchukia,

Tazama sura Nakili




Kumbukumbu la Torati 22:13
7 Marejeleo ya Msalaba  

Yakobo akamwambia Labani, Nipe mke wangu, maana siku zangu zimetimia; niingie kwake.


Ikawa wakati wa jioni akamtwaa Lea, binti yake, akamletea Yakobo, naye akaingia kwake.


BWANA akaona ya kwamba Lea hakupendwa, naye akafungua tumbo lake; bali Raheli alikuwa hazai.


kisha akamshitaki mambo ya aibu kumzushia jina baya, akasema, Nimemtwaa mwanamke huyu, nami nilipomkaribia sikuona kwake alama za ubikira;


Mtu akiisha kutwaa mke kwa kumwoa, asipopata kibali machoni mwake, kwa kuwa ameona neno ovu kwake, na amwandikie hati ya kumwacha, akamtilie mkononi mwake, na kumtoa katika nyumba yake.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo