Kumbukumbu la Torati 22:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC10 Usilime kwa ng'ombe na punda wakikokota jembe pamoja. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 “Usilime shamba kwa kutumia ng'ombe na punda pamoja. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 “Usilime shamba kwa kutumia ng'ombe na punda pamoja. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 “Usilime shamba kwa kutumia ng'ombe na punda pamoja. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Usilime kwa maksai aliyefungwa nira pamoja na punda. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Usilime kwa maksai aliyefungwa nira pamoja na punda. Tazama sura |