Kumbukumbu la Torati 22:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC1 Umwonapo ng'ombe wa nduguyo au kondoo wake akipotea, usijifiche kama usiyemwona; sharti utamrudisha kwa nduguyo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 “Ukimwona ng'ombe au kondoo wa ndugu yako amepotea, usimwache, bali mrudishe kwa ndugu yako. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 “Ukimwona ng'ombe au kondoo wa ndugu yako amepotea, usimwache, bali mrudishe kwa ndugu yako. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 “Ukimwona ng'ombe au kondoo wa ndugu yako amepotea, usimwache, bali mrudishe kwa ndugu yako. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Ukimwona ng’ombe au kondoo wa ndugu yako anapotea, usipuuze, bali uhakikishe unamrudisha kwa mwenyewe. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Kama ukimwona ng’ombe au kondoo wa ndugu yako anapotea, usipuuze, bali uhakikishe unamrudisha kwa mwenyewe. Tazama sura |