Kumbukumbu la Torati 21:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC2 na watoke nje wazee wako na waamuzi wako, nao wapime hapo mpaka miji iliyomzunguka huyo aliyeuawa; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 wazee na waamuzi wenu watajitokeza na kupima umbali wa kutoka mahali maiti ilipo hadi miji ya karibu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 wazee na waamuzi wenu watajitokeza na kupima umbali wa kutoka mahali maiti ilipo hadi miji ya karibu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 wazee na waamuzi wenu watajitokeza na kupima umbali wa kutoka mahali maiti ilipo hadi miji ya karibu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 wazee wenu na waamuzi watatoka na kupima umbali kutoka maiti alipolala hadi kwenye miji iliyo jirani. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 wazee wenu na waamuzi watatoka na kupima umbali kutoka maiti alipolala mpaka kwenye miji ya jirani. Tazama sura |