Kumbukumbu la Torati 21:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC10 Utakapokwenda vitani kupigana juu ya adui zako, na BWANA, Mungu wako, awatiapo mikononi mwako, nawe uwachukuapo mateka, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 “Mkienda kupigana vita na adui, naye Mwenyezi-Mungu akawapeni ushindi, mkawachukua mateka, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 “Mkienda kupigana vita na adui, naye Mwenyezi-Mungu akawapeni ushindi, mkawachukua mateka, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 “Mkienda kupigana vita na adui, naye Mwenyezi-Mungu akawapeni ushindi, mkawachukua mateka, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Mkienda vitani kupigana na adui zenu, naye Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, akawatia adui mikononi mwenu, nanyi mkachukua mateka, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Mkienda vitani kupigana na adui zenu naye bwana Mwenyezi Mungu wenu akawatia adui mikononi mwenu, nanyi mkachukua mateka, Tazama sura |