Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Kumbukumbu la Torati 21:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

1 Aonekanapo mtu ameuawa katika nchi akupayo BWANA, Mungu wako, kuimiliki, amelala kondeni, wala haijulikani ni nani aliyempiga;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

1 “Mtu akipatikana ameuawa mbugani katika nchi ambayo Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, anawapeni muimiliki, nanyi hamjui ni nani aliyemuua,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

1 “Mtu akipatikana ameuawa mbugani katika nchi ambayo Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, anawapeni muimiliki, nanyi hamjui ni nani aliyemuua,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

1 “Mtu akipatikana ameuawa mbugani katika nchi ambayo Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, anawapeni muimiliki, nanyi hamjui ni nani aliyemuua,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

1 Kama mtu akikutwa ameuawa, naye amelala kwenye shamba katika nchi ambayo Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, anawapa kuimiliki, wala haijulikani ni nani aliyemuua,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

1 Kama mtu akikutwa ameuawa, naye amelala kwenye shamba katika nchi ambayo bwana Mwenyezi Mungu wenu anawapa kuimiliki, wala haijulikani ni nani aliyemuua,

Tazama sura Nakili




Kumbukumbu la Torati 21:1
10 Marejeleo ya Msalaba  

Akasema, Umefanya nini? Sauti ya damu ya ndugu yako inanililia kutoka katika ardhi.


Utawaharibu wasemao uongo; BWANA humchukia mwuaji na mwenye hila


Maana mlipiza kisasi cha damu awakumbuka, Hakukisahau kilio cha wanyonge.


Aliyelemewa na damu ya mtu Atalikimbilia shimo; wala mtu asimzuie.


Kwa maana, tazama, BWANA anakuja kutoka mahali pake, ili kuwaadhibu wakaao duniani, kwa sababu ya uovu wao; ardhi nayo itafunua damu yake, wala haitawafunika tena watu wake waliouawa.


Wenyeji walipomwona yule nyoka akilewalewa mkononi, wakaambiana, Hakosi mtu huyu ni mwuaji; ambaye ijapokuwa ameokoka katika bahari haki haimwachi kuishi.


isije ikamwagika damu ya asiye makosa kati ya nchi yako akupayo BWANA, Mungu wako, iwe urithi, ikawa na damu juu yako.


Ila miti uijuayo si miti ya kuliwa iangamize, na kuitema; ukajenge maburuji juu ya mji ufanyao vita juu yako, hata uanguke.


na watoke nje wazee wako na waamuzi wako, nao wapime hapo mpaka miji iliyomzunguka huyo aliyeuawa;


Nikawaamuru wakati huo, nikawaambia, BWANA, Mungu wenu, amewapa ninyi nchi hii muimiliki, basi vukeni ng'ambo wenye silaha mbele ya ndugu zenu, wana wa Israeli, nyote mlio mashujaa.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo