Kumbukumbu la Torati 20:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC9 Itakuwa hapo watakapokwisha wale makamanda kusema na watu, na waweke majemadari wa majeshi juu ya watu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Maofisa wakisha sema na watu, basi makamanda watawaongoza watu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Maofisa wakisha sema na watu, basi makamanda watawaongoza watu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Maofisa wakisha sema na watu, basi makamanda watawaongoza watu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Maafisa watakapomaliza kuzungumza na jeshi, watawateua wakuu wa vikosi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Wakati maafisa watakapomaliza kuzungumza na jeshi, watawateua wakuu wa vikosi. Tazama sura |