Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Kumbukumbu la Torati 20:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

2 Na iwe, msongeapo mapiganoni, kuhani na akaribie na kusema na watu,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

2 Kabla ya kuanza mapigano, kuhani atajitokeza mbele na kuwaambia watu,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

2 Kabla ya kuanza mapigano, kuhani atajitokeza mbele na kuwaambia watu,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

2 Kabla ya kuanza mapigano, kuhani atajitokeza mbele na kuwaambia watu,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

2 Mtakapokaribia kwenda vitani, kuhani atakuja mbele na kuhutubia jeshi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

2 Wakati mtakapokaribia kwenda vitani, kuhani atakuja mbele na kuhutubia jeshi.

Tazama sura Nakili




Kumbukumbu la Torati 20:2
9 Marejeleo ya Msalaba  

Na tazama, Mungu yu pamoja nasi atutangulie, na makuhani wake wenye parapanda, ili wapige sauti ya kuanza vita juu yenu. Enyi wana wa Israeli, msipigane na BWANA, Mungu wa baba zenu; kwani hamtafanikiwa.


Basi Musa akawatuma watu elfu wa kila kabila waende vitani, wao na Finehasi mwana wa Eleazari kuhani, waende vitani, na vile vyombo vya mahali patakatifu, na hizo tarumbeta za kupiga sauti za kugutusha mkononi mwake.


Utokapo kwenda vitani kupigana na adui zako, na kuona farasi, na magari, na watu wengi kuliko wewe, usiwaogope; kwa kuwa BWANA Mungu wako, yu pamoja nawe, aliyekukweza kutoka nchi ya Misri.


awaambie, Sikilizeni, enyi Israeli, hivi leo mwasongea mapiganoni juu ya adui zenu mioyo yenu na isizime; msiche, wala msiteteme, wala msiingiwe na hofu kwa ajili ya wao;


Basi Sauli akamwambia Ahiya, Lilete hapa sanduku la Mungu. Kwa kuwa hilo sanduku la Mungu, wakati huo lilikuwapo pamoja na wana wa Israeli.


Daudi akamwambia Sauli, Asifadhaike moyo mtu yeyote kwa ajili ya huyu; mimi mtumishi wako nitakwenda kupigana na Mfilisti huyu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo