Kumbukumbu la Torati 20:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC17 lakini uwaangamize kabisa, Mhiti, na Mwamori, na Mkanaani, na Mperizi, na Mhivi, na Myebusi, kama alivyokuamuru BWANA, Mungu wako; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema17 Mtawaangamiza watu wote: Wahiti, Waamori, Wakanaani, Waperizi, Wahivi na Wayebusi kama Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, alivyoamuru, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 Mtawaangamiza watu wote: Wahiti, Waamori, Wakanaani, Waperizi, Wahivi na Wayebusi kama Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, alivyoamuru, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 Mtawaangamiza watu wote: Wahiti, Waamori, Wakanaani, Waperizi, Wahivi na Wayebusi kama Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, alivyoamuru, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu17 Waangamizeni kabisa Wahiti, Waamori, Wakanaani, Waperizi, Wahivi na Wayebusi, kama Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, alivyowaamuru. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu17 Waangamizeni kabisa Wahiti, Waamori, Wakanaani, Waperizi, Wahivi na Wayebusi, kama bwana Mwenyezi Mungu wenu alivyowaamuru. Tazama sura |