Kumbukumbu la Torati 20:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC15 Utaifanyia vivyo hivyo miji yote iliyo mbali sana nawe, isiyokuwa miji ya mataifa haya. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Ndivyo mtakavyoitendea miji yote ambayo iko mbali na nchi mtakayoimiliki. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Ndivyo mtakavyoitendea miji yote ambayo iko mbali na nchi mtakayoimiliki. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Ndivyo mtakavyoitendea miji yote ambayo iko mbali na nchi mtakayoimiliki. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Hivi ndivyo mtakavyofanya kwa miji yote iliyo mbali nanyi, ambayo haimilikiwi na mataifa ya karibu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Hivi ndivyo mtakavyofanya kwa miji yote ambayo iko mbali nanyi, ambayo haimilikiwi na mataifa ya karibu. Tazama sura |
Nao wakamjibu Yoshua, na kusema, Ni kwa sababu ya sisi watumishi wako kuambiwa hakika, jinsi huyo BWANA, Mungu wako alivyomwamuru mtumishi wake Musa kuwapa ninyi nchi hii yote, na kuwaangamiza wenyeji wote wa nchi hii watoke mbele zenu; kwa sababu hii tuliogopa mno kwa ajili ya uhai wetu kwa sababu yenu, nasi tumefanya neno hili.