Kumbukumbu la Torati 20:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC13 na BWANA, Mungu wako, autiapo mkononi mwako, mpige kila mume aliyemo kwa makali ya upanga; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 naye Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu akiutia mikononi mwenu, mtawaua kwa upanga wanaume wote; Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 naye Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu akiutia mikononi mwenu, mtawaua kwa upanga wanaume wote; Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 naye Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu akiutia mikononi mwenu, mtawaua kwa upanga wanaume wote; Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, atakapouweka mji huo mkononi mwenu, waueni kwa upanga wanaume wote waliomo. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 Wakati bwana Mwenyezi Mungu wenu atakapouweka mji huo mkononi mwenu, waueni kwa upanga wanaume wote waliomo ndani yake. Tazama sura |