Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Kumbukumbu la Torati 20:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

12 Na kwamba hautaki kufanya amani nawe, lakini utafanya vita juu yako, ndipo uuhusuru;

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

12 Lakini wakazi wa mji huo wasipofanya amani nanyi, lakini wakapigana vita nanyi, basi, mtauzingira mji wao;

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

12 Lakini wakazi wa mji huo wasipofanya amani nanyi, lakini wakapigana vita nanyi, basi, mtauzingira mji wao;

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

12 Lakini wakazi wa mji huo wasipofanya amani nanyi, lakini wakapigana vita nanyi, basi, mtauzingira mji wao;

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

12 Ikiwa watakataa kufanya mapatano ya amani na wakiwaingiza katika vita, basi mtauzingira mji huo.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

12 Ikiwa watakataa kufanya mapatano ya amani na wakiwaingiza katika vita, basi mtauzunguka mji huo kwa vita.

Tazama sura Nakili

Kumbukumbu la Torati 20:12
2 Marejeleo ya Msalaba  

Itakuwa utakapokujibu kwa amani, na kukufungulia, ndipo watu wote watakaoonekana humo watakufanyia kazi ya shokoa, na kukutumikia.

na BWANA, Mungu wako, autiapo mkononi mwako, mpige kila mume aliyemo kwa makali ya upanga;

Tufuate:

Matangazo

Matangazo