Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Kumbukumbu la Torati 2:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

6 Nunueni vyakula kwao kwa fedha, mpate kula; na maji nayo nunueni kwao kwa fedha, mpate kunywa.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

6 Mkitaka chakula au maji kutoka kwao, lazima mnunue.’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

6 Mkitaka chakula au maji kutoka kwao, lazima mnunue.’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

6 Mkitaka chakula au maji kutoka kwao, lazima mnunue.’

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

6 Mtawalipa fedha kwa chakula mtakachokula na maji mtakayokunywa.’ ”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

6 Mtawalipa fedha kwa chakula mtakachokula na maji mtakayokunywa.’ ”

Tazama sura Nakili




Kumbukumbu la Torati 2:6
7 Marejeleo ya Msalaba  

Wana wa Israeli wakamwambia, Tutakwea kwa njia kuu; tena kama tukinywa maji yako, mimi na wanyama wangu wa mifugo, ndipo nitakulipa thamani yake; nipe ruhusa nipite kwa miguu yangu wala sitaki neno lingine lolote.


Basi yoyote myatakayo mtendewe na watu, nanyi watendeeni vivyo hivyo; maana hiyo ndiyo Torati na Manabii.


Msimlipe mtu ovu kwa ovu. Angalieni yaliyo mema machoni pa watu wote.


msipigane nao; kwa kuwa sitawapa sehemu ya nchi yao kamwe, hata kiasi cha kukanyaga wayo wa mguu; kwa kuwa nimempa Esau milima ya Seiri kuwa milki yake.


Kwa kuwa BWANA, Mungu wako, amekubariki katika kazi yote ya mkono wako; amejua ulivyotembea katika jangwa kubwa hili; miaka arubaini hii alikuwa nawe BWANA, Mungu wako; hukukosa kitu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo