Kumbukumbu la Torati 2:35 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC35 ila ng'ombe zao tuliwatwaa kuwa mawindo yetu, pamoja na nyara za miji tuliyoitwaa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema35 Nyara zetu zilikuwa tu mifugo na mali yote tuliyokuta mijini. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND35 Nyara zetu zilikuwa tu mifugo na mali yote tuliyokuta mijini. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza35 Nyara zetu zilikuwa tu mifugo na mali yote tuliyokuta mijini. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu35 Lakini mifugo na nyara tulizoziteka kutoka ile miji tulijichukulia wenyewe. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu35 Lakini mifugo na nyara tulizoziteka kutoka ile miji tulijichukulia wenyewe. Tazama sura |