Kumbukumbu la Torati 2:28 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC28 Nawe uniuzie chakula kwa fedha nile; unipe na maji kwa fedha, ninywe; ila unipishe katikati kwa miguu yangu, hayo tu; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema28 Chakula chetu tutakinunua kwako na maji ya kunywa pia. Tunachoomba tu ni ruhusa ya kupita kwa miguu nchini mwako, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND28 Chakula chetu tutakinunua kwako na maji ya kunywa pia. Tunachoomba tu ni ruhusa ya kupita kwa miguu nchini mwako, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza28 Chakula chetu tutakinunua kwako na maji ya kunywa pia. Tunachoomba tu ni ruhusa ya kupita kwa miguu nchini mwako, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu28 Tuuzie chakula tule na maji tunywe kwa thamani yake katika fedha. Turuhusu tu tupite kwa miguu, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu28 Tuuzie chakula tule na maji tunywe kwa thamani yake katika fedha. Turuhusu tu tupite kwa miguu, Tazama sura |