Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Kumbukumbu la Torati 2:27 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

27 Nipishe katikati ya nchi yako; nitakwenda kwa njia ya barabara, sitageuka kwenda mkono wa kulia wala wa kushoto.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

27 ‘Turuhusu tupite katika nchi yako. Tutapitia barabarani na kwenda moja kwa moja bila kugeuka kulia wala kushoto.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

27 ‘Turuhusu tupite katika nchi yako. Tutapitia barabarani na kwenda moja kwa moja bila kugeuka kulia wala kushoto.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

27 ‘Turuhusu tupite katika nchi yako. Tutapitia barabarani na kwenda moja kwa moja bila kugeuka kulia wala kushoto.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

27 “Turuhusu tupite katika nchi yako. Tutapita katika barabara kuu, hatutageuka kuume wala kushoto.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

27 “Turuhusu tupite katika nchi yako. Tutapita katika barabara kuu, hatutageuka kuume wala kushoto.

Tazama sura Nakili

Kumbukumbu la Torati 2:27
5 Marejeleo ya Msalaba  

Nikatuma wajumbe kutoka bara ya Kedemothi kwenda kwa Sihoni mfalme wa Heshboni na maneno ya amani, kusema.

Nawe uniuzie chakula kwa fedha nile; unipe na maji kwa fedha, ninywe; ila unipishe katikati kwa miguu yangu, hayo tu;

Nunueni vyakula kwao kwa fedha, mpate kula; na maji nayo nunueni kwao kwa fedha, mpate kunywa.

Kisha Israeli wakatuma wajumbe waende kwa Sihoni mfalme wa Waamori, mfalme wa Heshboni: Israeli wakamwambia, Tunakuomba utupe ruhusa tupite katika nchi yako, mpaka mahali pangu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo